Dakika chache zilizopita baada ya kusambaa taarifa za kifo cha waziri Celina Kombani, naibu Spika Job Ndugai amezungumzia namna walivyopokea msiba huo
Ikumbukwe kifo cha Waziri Kombani kimetokea ghafla huko nchini India alikokua akipatiwa matibabu
Hapa Chini nimekuwekea sauti ya Job Ndugai naibu Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, unaweza kuisikiliza au kuidownload pia