Jamaa mmoja huko Kariakoo anaripotiwa kukamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi na kuzua gumzo miongoni mwa wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini Tanzania.
Taarifa hii na picha zifuatazo zimepokelewa kupitia WhatsApp.