Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.John Magufuli ameahirisha mikutano yake ya kampeni aliyokuwa aifanye leo Mkoani Shinyanga ili kupisha sikukuu ya Eid El Hajj.....pia anawatakia watanzania sikukuu njema na yenye Baraka mbele za Mwenyezi Mungu na tuendelee kuidumisha Amani ya Nchi iliyopo....inshaallah