Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, Katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya ya Ngorongoro nao wajiunga na CHADEMA wakipokelewa na Mbunge wa Arumeru mashariki Mhe. Joshua Nassari (dogo Janja) mkoani Arusha.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi