Professor Jay achukua fomu ya kugombea ubunge 2015

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.

Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika..’Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE’ – Professor Jay


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo