Ester Bulaya "aikumbuka" CCM

Kuhama inatokea na mazingira lakini mimi sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuhamia Chadema lakini mienendo, tabia, future  ya kuwatumikia wananchi ilikuwa imepotea mimi nimekulia CCM na am proud for that  wamenilea lakini walinilea kwenye misingi ya uwazi na ukweli kile walichonifunza nikitaka kukitumia hawataki sasa kama kuna wengine kile nilichofundishwa huku wao wanakiaminia kutoka moyoni na midomo mwao niende kujiunga nao lakini wote tukiwa na ndoto za kuwatumikia wananchi’ -Ester Bulaya

Unajua kuna tofauti ya utumishi na mtu kufikiri utumishi ni cheo wanaofikiri ubunge ni cheo ni wale ambao hawatimizi wajibu wao wanataka ubunge kutaka madaraka Fulani, mimi ni mtumishi naenda kuwatumikia wananchi mabosi wangu ni wananchi ukiwa unadhani ya kwamba ubunge ni cheo utavimba kichwa na utashindwa kutimiza wajibu wako, bunge bosi wake ni wananchi‘ – Ester Bulaya.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo