Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya
Vifaa mbalimbali vikiuzwa kwa ajili ya Mkutano wa CHADEMA
Baadhi ya Wakazi wa Mbeya wakiwa wamevaa mapambo ya CHADEMA
Mfanyabiashara wakiuza urembo jijini Mbeya
