Mbatia naye ana haya mapya ya kukwambia

Mwenyekiti mwenza wa umoja wa baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani JAMES MBATIA amewashauri wagombea wa nafasi mbalimbali za kisasa kunadi sera kwa wananchi badala ya kunyooshena vidole.  
          
Mbatia ameyasema hayo jijini DSM katika Mkutano na waandishi wa habari ambapo amesema watanzania ni  wamoja na  wanahitaji kusikia sera kutoka  kwa wagombea na siyo vinginevyo.
              
Kampeni za uchaguzi zitarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe ishirini na mbili baada ya kukamilika kwa nafasi za uteuzi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo