Lowassa jijini Mwanza, jionee taswira hapa

Muda  huu  polisi  wanapiga mabomu  uwanja  wa  ndege   jijini  Mwanza kuwatawanya  wananchi  waliokusanyika  kumpokea  Lowassa.

Mabomu  yamepigwa  muda  mfupi  baada  ya  ndege inayosadikiwa  kuwa  ni  ya  Lowassa  kutua  uwanjani, hali iliyowafanya  wananchi  walipuke  kwa  furaha  huku wakiimba  nyimbo  za  Chadema.

Kadhia  hiyo  iliwafanya  Polisi  watumie nguvu  ya  ziada kuwatawanya  wananchi hao  waliokuwa  wametanda barabarani.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo