Katika gazeti la Raia Mwema la leo 12.08.2015 toleo no.418 ipo habari ya Mgombea Urais wa CCM kuwa atawapatia walimu wote laptops ili kuinua kiwango cha elimu,na labda kwa fikra zake,kuondoa umaskini nchini...na kuwajengea walimu maandalizi mazuri ya kuipenda kazi yao
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi