M/kiti wa CCM, Rais @jmkikwete akimkaribisha jukwaani, Mke wa Mgombea Urais-CCM Dk.John Magufuli,Mama Janeth Magufuli pic.twitter.com/RvpCFaqpVQ
— Haki Ngowi (@Hakingowi) July 12, 2015
"Hili jembe"akisema Rais @jmkikwete akiwa na mgombea Urais-CCM Dk.John Maguli na Mama Janeth Magufuli baada kuteuliwa pic.twitter.com/gjn7CpHrK4
— Haki Ngowi (@Hakingowi) July 12, 2015
Alhamdulillah. #UmojaNiUshindi pic.twitter.com/m7OnNOU44E
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 12, 2015