PICHA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIPOHUTUBIA KWA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI

b1
 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohaed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015 
b2
 Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni 
b3
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni  
b4
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge 
b5
 Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni 
b6
 Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge 
b8
 Rais Kikwete akiingia bungeni  
b9
 Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao   
b10
 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo