MWILI WA MMOJA WA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YALIOVAMIA KITUO CHA POLISI STAKISHARI WAAGWA JANA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Koplo Gaudin Kakoko, likiwa nyumbani kwa marehemu, Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam tayari kwa mwili wa marehemu kuagwa na wapendwa wake,Mwili huo ulisafirishwa jana kupelekwa kwao wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera kwa mazishi. Marehemu nimmoja wa askari wanne waliouawa na majambazi hivi majuzi baada ya kukivamia kituo cha polisi Stakishari, Ukonga, Ilala Jijini Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam tayari kuuaga mwili wa marehemu Koplo Kakoko amba0 ulisafirishwa jana kupelekwa kwao Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo