Mabilioni Ya Pesa Yakamatwa Dodoma, yalikuwa yagawanywe kwa wajumbe.......Membe Akanusha Kuhusika Nayo


Kuna habari zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membeameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo
 
 “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“
 
Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi ”siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu”  @
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo