Matokeo rasmi ya wana-CCM watatu watakaondelea na mchakato yatatolewa punde. Hatumo. Lakini nina fahari kubwa na kampeni yetu na timu yetu.
— January Makamba (@JMakamba) July 11, 2015
Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.
— January Makamba (@JMakamba) July 11, 2015