Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015.
Matokeo Top 3 ya Urais CCM (Jina/Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120
Kwa hisani ya http://t.co/BWaZbKnL32
— Jamii Forums (@JamiiForums) July 11, 2015