Hukumu hii aliyopewa mtoto wa Gadafi ni balaa...!!!!

coti
Mahakama ya  Libya leo imetoa hukumu kwa mtoto wa aliyekuwa rais wa taifa hiloGaddafi, aitwaye Saif al Islam na wenzake nane kufuatia uhalifu wa kivita uliohusishwa na mapinduzi ya mwaka 2011.
Wote walikuwa wameshtakiwa pamoja sasa wamehukumiwa kunyongwa pamoja na washirika wengine wa kiongozi huyo aliyeondolewa madarakani kwa kujaribu kazima maandamano wakati wa mapinduzi hayo.
Saif al Islam hakuwepo mahakamani na alitoa ushahidi wake kupitia kanda ya video.
Kwa sasa Saif anazuiliwa na kundi moja la waasi la zamani katika mji wa Zintan ambapo wamekataa kumuachilia huru.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo