Leo taarifa imetolewa na Kamanda Suleiman Kova kwamba kuna watu watano wamekamatwa wakihusishwa na tukio hilo na pia kuna silaha ambazo zimekamatwa, ziko Bunduki 15 pamoja na Risasi 28 ambazo zote ni sehemu ya zilizoibiwa wakati wa tukio la Ujambazi uliofanyika Stakishari.
BreakingNEWS: Jeshi la POLISI DAR limekamata Bunduki 15 pamoja na Risasi 28 kati ya zilizoibiwa Kituo cha Polisi cha STAKISHARI July 12 2015
— millard ayo (@millardayo) July 20, 2015
BREAKING: Watu watano pia wanashikiliwa na Jeshi la POLISI DAR wakihusishwa na tukio la uvamizi wa Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga Dar.