Breaking News: Kituo cha Polisi kimechomwa moto na Barabara imefungwa Bunju DAR

Breaking News niliyopokea muda mfupi uliopita inahusu ishu ya vurugu zilizotokea eneo la ‘Bunju A’ Dar es Salaam, barabara imefungwa na Kituo  cha Polisi kimechomwa moto na wananchi baada ya tukio la ajali ya gari kumgonga mtoto mmoja eneo hilo.

Watu wamefunga barabara, kituo cha Polisi kimechomwa moto.. kisa hasa cha watu kuamua hivyo inatokana na tukio la ajali ambapo mtoto mmojaRadhia Omary, mwanafunzi wa Shule ya Msingi kugongwa na gari.

Chanzo:ITV 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo