Watendaji wizara ya Ardhi waagizwa kuboresha makazi ya chuo cha Ardhi TABORA


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ANGELA KAIRUKI
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ANGELA KAIRUKI amawaagiza Watendaji wa wizara hiyo kuangalia namna ya kuboresha makazi ya Watumishi wa Chuo cha Ardhi TABORA, ambayo kwa sasa yana hali duni. 

KAIRUKI ametoa agizo hilo baada ya kutembelea nyumba za Watumishi hao ambazo zimejengwa kwa mabati na kusema kuwa nyumba hizo hazifai kwa makazi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo