MBOZI yasitisha malipo kwa wakandarasi wawili wa barabara


Halmashauri ya wilaya ya MBOZI imesitisha malipo kwa wakandarasi wake wawili kampuni ya KERRY COMPANY na MSUKWA GENERAL COMPANY zilizopewa tenda za ujenzi wa barabara kiwango cha changarawe ndani ya halmashauri hiyo 

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo Mwenyekiti wa halmashauri ya MBOZI, ERICK AMBASISYE amesema hakuridhishwa na ujenzi wa barabara hizo ambazo ni ile ya Inanda mpaka Chindi pamoja na barabara ya kutoka Vwawa kwenda Igamba ambazo amebainishwa zote kujengwa chini ya kiwango


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo