Kampuni ya Vuvuzela Entertainment imekuja na kipindi kipya – Hot Seat. Hiki ni kipindi cha katuni
ambacho kinawaigiliza watu maarufu wa Tanzania huoneshwa kupitia ITV. Angalia kipindi hiki
walichomuigiza spika wa bunge, Anna Makinda.
Tazama kipindi cha katuni cha Hot Seat cha SPIKA Anna Makinda
By
Edmo Online
at
Tuesday, June 09, 2015