Popote pale unapoisoma 97.0 Kitulo Fm inayofanya kweli moja kwa moja kutoka Makete Iringa Tanzania, fuatilia shoo ya kijanja iliyosimama ile mbaya ya "970 Show" kila jumatatu hadi Ijumaa time ni saa saba kamili hadi kumi kamili jioni. Tuwe pamoko mzazi!!! One Loooooove!