SHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI WA TANZANIA

Sheikh Abubakar Zuber bin Ally (katikati) akihojiwa na wanahabari (hawapo pichani).
BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) limemteua Sheikh Abubakar Zuber bin Ally, kukaimu nafasi ya aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Issa Shaaban Simba, aliyefariki dunia Juni 15 mwaka huu.

Akizungumza na wanahabari, mjumbe wa Baraza la Ulamaa Bakwata na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheik Hamid Masoud Jongo, amesema Sheikh Abuubakar atakaimu nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu baada ya hapo utafanyika uchaguzi wa kiongozi ambaye atashika madaraka, lakini akaongeza kuwa wameamua kumteua mufti huyo kutokana na sifa alizo kuwa nazo za uongozi ikiwemo elimu, mwamko na kujitambua.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo