Ilitokea taarifa Arusha kwamba kuna gari lilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani lakini likakataa kusimama na baadae likawagonga kwa Makusudi Askari hao ambapo baadhi yao walipoteza maisha.
Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas amethibitisha yafuatayo >>> ‘Gari letu liligongwa lakini sio kwamba Walilisimamisha, huyo Dereva ndio aliacha barabara upande wake na akaifata gari ya Polisi na kuigonga, hakuna Askari yeyote aliyefariki‘
