Maswali na majibu ya WEMA SEPETU, kazungumzia ile BMW, Diamond, Jokate,Penny na mengine

Kutana na kipisi kingine cha Interview mwigizaji Wema Sepetu akihojiwa na Zamaradi Mketema kwenye TAKE ONE ya CloudsTV ambapo interview kwenye hii video hapa chini anazungumzia kidogo ile BMW na uhusiano wake na Diamond Platnumz, boyfriend CK, kujutia kuwa na Diamond, kwake mapenzi ni Pesa au kupetipeti?

Alijutia kutomsikiliza mama yake kwenye maamuzi magumu ya maisha yake? kuhusu Diamond kuwa mapenzini na Jokate na Penny? majibu ya haya na mengine aliyoulizwa unaweza kumtazama mwenyewe hapa chini.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo