Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??
Der Julini jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe baada ya ndoa kufikia mwishoni.
Cheki pichaz za vitu vyewewe sasa !!
Hii ni laptop ya Apple, hapo ndio imeshagawanywa nusu yani!
Hili ni sanduku la barua, na lenyewe limegawanywa tayari.
iPhone nayo haikuachwa.
Gari ndogo ya kutembelea, Opel Corsa nayo iko nusu hapo.
TV ya Samsung nayo iko nusu.
Mdoli nao ulikutwa na huu mkasa wa kugawanywa nusu !!
Viti vya kukalia.
Helmet ambayo inavaliwa kichwani ukiendesha pikipiki
Hapa kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube