Hawa watoto wameamua kuishi nyumba moja kama wapenzi kabisa HUKO SHINYANGA

Kama ulipitwa na hii Hekaheka toka Shinyanga inahusu vijana wawili, wa kike ana umri wa miaka 13 na wa kiume ana umri wa miaka 16 wameishi nyumba moja kama wapenzi.. wazazi hawakujua kinachoendelea.
Kijana wa kiume amesema msichana alimfuata saa nne usiku akamwambia kwamba amefukuzwa kwao, yeye akamrudisha nyumbani kwao.. baadae akasikia kwamba anatafutwa na wazazi wa msichana huyo.
Msichana amekubali kwamba ni kweli alitoroka akaenda kuishi na mvulana huyo.
Wazazi wamesema mtoto wao alitoroka usiku wakamtafuta lakini hawakumpata, siku ya pili walikuta nguo zimefichwa.. ikapita siku mbili ndio wakamkuta msichana huyo kwa mama yake.
Wazazi wanasema walisikia toka kwa watu kwamba walimuona huyo kijana akiwa ameongozana na kijana huyo wa kiume.
Msichana aliyetoroka kwao bado ni mwanafunzi lakini mvulana hasomi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo