Mwenyekiti wa Njombe Press Club, Mercy Sikabogo (kushoto) ambaye leo hii amechaguliwa rasmi kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa awamu ya pili. Kulia kwakwe ni Hamis Kasapa ambaye naye amechaguliwa kuwa katibu kwa awamu ya pili.
Taarifa kamili itakujia punde.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi