skip to main |
skip to sidebar
Waliouawa Na Al Shabab katika Shambulizi Chuo Cha Garissa Wafika 147.......Serikali Ya Kenya Yasema Imewaua Magaidi Wote Waliovamia
Habari Mpya toka kenya zinaarifu kuwa,Watu 500 wameokolewa huku 147 wakiuawa wakiwemo wapiganaji wote wa kundi la Al shabaab waliokuwa wamevamia.
Kwa mujibu wa kituo cha Televisheni cha K24 cha nchini Kenya, majeshi ya KDF Yakisaidiana na Polisi yamefanikwa kuwaua magaidi wote na kuchukua udhitibi wa chuo hicho.
Mapigano Hayo Yamechukua Masaa 14 Kukamilika.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi