.
Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake na kwamba BVR za kutosha zimeshasambazwa wilaya zote.
Amesema kuwa uandiskishaji utaendelea hadi kila wilaya itakapokamilisha zoezi la uandikishaji.
Wakati huo huo mkuu huyo wa mkoa amezungumzia uzinduzi na uwashaji wa Mwenge wa uhuru utaofanyika katika uwanja wa majimaji mjini Songea Aprili 29 mwaka huu.