Ajali Nyingine Yatokea Mikumi......Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa Baada Ya Basi La Happy Nation Kutumbukia Mferejini


Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro.
  
Ajali hiyo imetokea jana mchana ikiwa ni muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea jana hiyo hiyo ikihusisha magari matatu kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo