UMEIPATA HII YA WANAFUNZI NA WALIMU WAO KUJISAIDIA PORINI BAADA YA SHULE KUKOSA VYOO?

Walimu wa Shule ya Msingi Mafizi iliyopo Kisarawe, Pwani wako hatarini kutokana na vyoo wanavyovitumia kudidimia ambapo kutokana na hali hiyo wamelazimika kujisaidia vichakani na wengine katika vyoo vya Zahanati.
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Manyama Philipo amesema; “Kwa kweli sasa tuna changamoto ya vyoo.. mvua hizi zinazonyesha vyoo vyote vimetitia.. tuna hali mbaya
Mmoja wa Walimu wa Shuleni hapo, Eveline Munisi amesema kutokana na jinsi hali ilivyo walimu wa kike wanalazimika kwenda porini wakiwa na majembe kwa ajili ya kujisaidia.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo