RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA DODOMA

3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa  wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri
12

Baadhi ya wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma leo jioni. (picha na Freddy Maro)
unnamed 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wapya wa wilaya aliowateua hivi karibuni baada ya kufungua semina elekezi ya uongozi mjini Dodoma jana katika ukumbi wa St.Gaspar..Wengine katika picha walioketi mbele ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia(Watatu kushoto),Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri(Wapili kulia),Katibu Mkuu TAMISEMI Bwana Jumanne Sagini(kushoto), Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bwana Abbas Kandoro(wapili kushoto), na watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa(picha na Freddy Maro)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo