PICHA ZOTE ZA MAZISHI YA KOCHA SYLVESTER MARSH HUKO JIJINI MWANZA

Weekend ilikuwa na taarifa ya kusikitisha kwenye ulimwengu wa Michezo Tz, ilikuwa ni taarifa ya msiba wa Kocha Sylvester Marsh ambaye alifariki siku ya Jumamosi March 14 2015 katika Hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa koo.
Marehemu Marsh amezikwa JANA Mwanza ambapo watu mbalimbali ikiwemo wapenzi wa michezo, wasanii, viongozi, wameshiriki kumsindikiza Kocha huyo wa zamani katika safari yake ya mwisho duniani.
Marsh aliwahi kufundisha vilabu mbalimbali pamoja na kuwa Kocha msaidizi wa timu ya Taifa.

Kuona picha zaidi BONYEZA HAPA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo