Kwenye
Hekaheka ya leo inatokea Dar, inahusu mwanamke ambaye majirani wanasema
ameenda kuolewa Zanzibar na kuwaacha watoto wake watatu, kati
yao mkubwa ana umri wa miaka 6 na ndiye aliyeachiwa jukumu la
kuwaangalia wadogo zake.
Majirani wamesema kitendo alichofanya
mwanamke huyo cha kuwatelekeza watoto hao sio kizuri kwani watoto hao
hawana hali nzuri na mtoto mdogo mmoja ambaye ana umri wa mwaka mmoja
sio nzuri na anaumwa yuko Hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu
kutokana na afya yake kudhoofika kwa sababu ya kukosa lishe.
Mtoto huyo wa miaka sita amesema mama yao aliondoka akiwaaga kwamba anakwenda kwa bibi yao lakini.
Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza stori yote…
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi