RAIS ROBERT MUGABE ATIMIZA MIAKA 91

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza miaka 91 JANA.

Mugabe amekuwa ni kiongozi mzee kabisa duniani kwa kuwa madarakani kwa miaka 35.

Sherehe ya siku yake ya kuzaliwa inategemewa kufanyika wiki ijayo katika Uwanja wa Golf, Victoria Falls.

Sherehe hiyo ambayo itakuwa kubwa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu, inaelezwa kugharimu kiasi cha dola milioni moja.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo