Mez B Kuzikwa Jumatatu Makaburi Ya Wahanga Dodoma

Aliyekuwa  memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo.
 
Mtandao huu uliongea na mama wa marehemu, Marry Mkandawile ambaye alisema kuwa kwa sasa msiba upo maeneo ya Kisasa mjini Dodoma.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo