AJIUA KWA KUJINYONGA BAADA YA KUKOSA MWANAUME WA KUMUOA

xMatukio ya wanawake kukataa tamaa ya kuolewa na kujichukua sheria mkononi sasa yameanza kushika kasi, tumesikia stori ya mwanamke kuamua kuvaa shela la harusi na kukatiza nalo mitaani huku mwigine naye akiamua kujioa mwenyewe wote sababu ikiwa moja kukataa tamaa ya kuolewa.

Habari nyingine ni kwamba msichana huyu raia wa Uingereza ameamua kukatisha maisha yake kwa kujinyonga baada ya kufikisha miaka 29 huku akiwa hana dalili yoyote ya kuoelewa wala kupata mtoto.

Rachel Gow aliamua kuchukua uamuzi huo ikiwa ni miezi miwili imebaki kabla ya kuhitimisha miaka 30,na kifo chake kimetokana na kukata tamaa ya kuolewa pamoja na kifo cha mama yake mzazi ambacho kilimwongezea uchungu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo