skip to main |
skip to sidebar
SIMBA YACHAPWA NA MBEYA CITY TAIFA
Simba SC wakimenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. (Picha na GPL)
SIMBA SC imeendelea kupoteza michezo yake hasa ya nyumbani baada ya leo kukubali tena kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.
Mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imepigwa muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba hivi karibuni ilipoteza mechi yake ya nyumbani baada ya kupigwa
na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar kabla ya kutoka sare ya bao
1-1 dhidi ya Azam FC majuzi.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi