Tanzania kupitia Idris Sultan ilibuka mshindi wa shindano la Big Brother
Afrika 2014, kwenye interview nyingi alizofanyiwa Idris alisema pesa
nyingi atatumia kusaidi watoto Tanzania na Africa.
Habari mpya ni kwamba
super star huyu ametumia kiasi flani cha pesa zake kununua jumba
lililopo Dar es salaam maeneo ya mbezi Beach.