Msafara
wa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rudenge umepata ajali katka eneo
la Msavu barabara ya Morogoro Iringa majira ya saa tisa alasiri.
Katika
ajali hiyo Meya wa Manispaa ya Morogoro Amily Nondo na mwaandishi wa
habari wa ITV wamejeruhiwa vibaya na wanaendelea na matibabu katika
hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Wengine walio jeruhiwa katika ajali hii ni pamoja na Dereva wa Meya na mwandishi wa habari wa Tbc.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi