GAZETI LA UDAKU LA AMANI LAMCHEFUA RAY C, SOMA ALICHOKISEMA HAPA

‘Daktari:Jk muokoe Ray C’ ndio kichwa cha habari  cha magazeti iliyomtoa macho Rehema Chalamila aka Ray C iliyoandikwa na gazeti liitwalo ‘Amani’ katika kurasa zake wa mbele.
kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram leo saa chache  zilizopita amepost picha ya gazeti lenye stori hiyo na kuandika; ‘MLISEMA NITAKUFA BAADA YA SIKU 190 HAYA HATA BADO SIKU
HAIJAFIKA MNAANDIKA TENA HUU UPUUZI, HIVI NYIE MNATAKA KUNIULIA MAMA YANGU JAMANI? HAYA SASA MAMA YANGU
PRESHA JUU USO WOTE UMEMVIMBA SABABU YA PRESHA KISA HILI GAZETI LENU! MBONA HAMNIONEI HURUMA MWENZENU BADO
HATA SIJAMALIZA MATIBABU MNAANZA KUNIOMBEA MABAYA! KAMA MNATAKA KUNIUA NITAFUTENI MNICHOME HATA KISU
NIFIE MBALI LAKINI SI MAMA YANGU!! NAANDIKA HII MESEJI CHOZI LINANITOKA! NAWAOMBA MSINIULIE MAMA YANGU KWA
PRESHA NA HIZI HABARI ZENU……
.MSINIOMBEE MABAYA MWENZENU NIMEPITIA KWENYE MTIHANI MGUMU SANA KWENYE MAISHA YANGU, KAMWE SITORUDI NYUMA, NAOMBA SAPOTI YENU….MSINIOMBEE MABAYA’ —- @rayc1982
.
.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo