skip to main |
skip to sidebar
Demu wa Kenya Tiara Arudi Tena....Atuma Video Nyingine kwa Diamond Akiwa Anaoga na Kusema Yupo Tayari Kufanya Nae Project
Kuwa Staa raha sana.Baada ya Diamond kutumiwa video na mrembo wa Kenya
akimtaka amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kimahaba
kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa
sawa....
Sasa Mrembo huyo amerudi tena na kali zaidi ya ile . Mrembo huyo
ajulikanae kama Tiara ameachia video nyiningine akiwa bafuni
akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i will love you everyday ukilia
kwa nyuma ili Diamond amuone Vizuri kwani ile Video ya Mwanzo ilikuwa na
Giza..Mrembo huyo pia amesema yeye ni MwanamuziKI na angependa kufanya Project na Diamond Platunumz
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi