UPEPO MKALI WAEZUA NYUMBA KADHAA KIJIJI CHA USAGATIKWA WILAYANI MAKETE

 






Picha zikionesha nyumba zilizoezuliwa na upepo mkali katika kijiji cha Usagatikwa wilayani Makete mkoani Njombe hivi karibuni. Picha na Edwin Moshi wa eddy Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo