NAJUA UMEWAHI KUONA VYOO, JE HIKI UNAKIPA NAMBA NGAPI..?????

Bila shaka umewahi kuona vyoo, lakini hiki kinaweza kuwa cha mshangao kama mwandishi wetu alivyokikuta kwenye kijiji cha Usagatikwa wilayani Makete mkoani Njombe. Hiki ni choo cha familia na kinatumika usiku na mchana. (Picha na Edwin Moshi/Eddy Blog)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo