PICHA ZAIDI AJALI YA BASI LA MOHAMMED TRANS HUKO IGUNGA TABORA

Basi la kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupoteza  maisha katika  eneo la Makomero wilayani  Igunga, mkoani Tabora.



Inadaiwa kuwa mbali na kuua pia abiria wengi wamejeruhiwa baada ya basi hilo  la Mohammed Trans kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka huku kukiwa na taarifa zingine kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kugonga shimo 
  Basi hilo limepinduka JANA majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

 
 
 

Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo