MWIZI ANAJIUZULU, MTETEA WANYONGE ANAFUKUZWA

bnnn
Huyu wa kwanza ameacha kazi baada ya kushiriki katika njama na ufanikishaji wa wizi wa fedha za umma (Mabilioni ya Escrow)….

Huyu wa pili alifukuzwa kazi miezi michache iliyopita baada ya kutetea haki, ukweli na matakwa ya wananchi katika mchakato wa katiba.

Watanzania ijuweni Serekali ya ccm inavyo fanya kazi za kimafya za kulindana 

Hukumu ya vigogo wa ccm ni nguvu ya umma ikiamua (people’s Pewer), bila ya nguvu ya umma basi ccm itaendeleza umafya wake na watanzania tusahau mabadiliko ya maisha bora kwa kila Mtanzania
Chanzo Facebook Julius S. Mtatiro


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo