MAJONZI:SHEIKH HUYU AFARIKI DUNIA, KUZIKWA KESHO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcvJsQojXTQN_oXqm98ueIwUW9tVFFvaqq_UsGWUJO2B5TN1pNS6TR53HZfGACoHwilmqUqx-xcsgywazz2kfDKiE5tohqbdNEcD-R4PQzICcBW818NDsMl2mkixcw3LtOwEo2sEL94rOg/s1600/unnamed+(7).jpgSheikh Ali Mzee Comorian (pichani) amefariki dunia muda mchache uliopita nyumbani kwake mtaa wa Kariakoo jijini Dar es salaam. Shughuli za maziko zinafanyika hapo hapo nyumbani kwake.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.

  Maziko yatafanyika kesho Jumatatu saa nne asubuhi. Atasaliwa Msikiti wa Makonde na atazikwa katika Viunga vya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Dar es salaam.

 Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit
 Imetolewa na:
Abdulrahman S. I.  Mbamba


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo