Kilichotokea pale majambazi wenye bastola walipojaribu kupora bulletproof BMW [Video]

CCTV security camera ilinasa majambazi wawiki hawa wenye bastola wakijaribu kupora gari aina ya BMW mchana kweupe jijini Nairobi. Majambazi hao wawili, ambao ni miongoni mwa wimbi la wahalifu wanaovizia magari kwa kutumia pikipiki, walimuamuru dereva afungue mlango huku wakimuonyesha bastola. Dereva huyo aligoma kufungua mlango, kwa sababu nzui; gari lake ni bulletproof. Baada ya dereva huyo kukataa kutii amri yao, mmoja wa majambazi hao anaonekana akijaribu kuvunja kioo bila mafanikio. Hapo ndipo dereva wa gari hilo aliporudi rivasi, nakusepa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo